Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo vibabuuu vitakufiaa kifuaniiii.
Utapata case ya kuua kwa kuto kusudia shauri yakooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂!
Weee viko gadoooooo vipo fitttttt vina mamboooo vinifie thubutuuuu!!!!!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!
Weee viko gadoooooo vipo fitttttt vina mamboooo vinifie thubutuuuu!!!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vizeee vishakumwagia uji ulio staafu na umekoleaa haswaaa, soon uanze kudai mafao ya pensheni akati bado uko kazini. Lol..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],jaribu uone[emoji2440]

Halafu nawe una nini mbona unazongwa sana???

Yaani ni wewe unawafuata mabwana wa watu Pm???

Aisee humu ni kwa motoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaaa mwenzio had sometimes nachokaaa.
Eti mie najitongozesha kwa mabwana wa watu PM, maskiniii hao wenyewee wanao tajwaaa hata sijawahi kuongea nao chochote, nabaki kujiuliza au kuna mtuu ndo anasumbua watu afu anajifanya mie kwa ID ingnee.

Kheeeeh hata sielew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa wenye mabwana wamekufuata au mabwana wenyewe???

Wapotezeee wasikuchoshe,
 
Sasa wenye mabwana wamekufuata au mabwana wenyewe???

Wapotezeee wasikuchoshe,
Sio mabwana wala wenye mabwanaaa, ila wenye mabwana wanaunda tumee kutaka kunichambaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa sijui mabwana zao ndo wanawaambia mie nawasumbua, akat hata sijawahi kuongea nao. Mweeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cocastic au bwana mwenyewe Mjep?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mbna anatambulikaaaaa, kuwa ni wangu ila aliniachaa Golden Tulip Zanzibar, had pesa ikakata nikaombaa msaadaa kwa manager nirud Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara namgandaaa yeye hanitakiii, mie namgandaaa na nmemfilisi pesaa zakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mjep mume wanguuu ukujeeee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mabwana wala wenye mabwanaaa, ila wenye mabwana wanaunda tumee kutaka kunichambaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa sijui mabwana zao ndo wanawaambia mie nawasumbua, akat hata sijawahi kuongea nao. Mweeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Looooh kumbe[emoji50],

Pm au kwenye uzi?
 
Huyu mbna anatambulikaaaaa, kuwa ni wangu ila aliniachaa Golden Tulip Zanzibar, had pesa ikakata nikaombaa msaadaa kwa manager nirud Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara namgandaaa yeye hanitakiii, mie namgandaaa na nmemfilisi pesaa zakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mjep mume wanguuu ukujeeee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushamfilisi jamani ndiyo maana vocha hatupii[emoji2815],jamani dhambi na alivyompole si unampeleka mswebemswebe mtoto wa mama mkwe wako[emoji23]
 
Looooh kumbe[emoji50],

Pm au kwenye uzi?
kuhusu kuundiwa tume, kuna jamaa siku hyo akasema kiutan ktk uzi fulan hv, mie malayaa naiba mabwana wa watu, nkapotezeaa nkahis utan, mara ya pili mtu mwingne tena ktk uzi akasemajee wee una dawa kila mtu unae mfataa anakukubalia na kukuhongaa pesa ndefu, [emoji23][emoji23][emoji23] nkahis utan pia, ya 3 mdada akanifata pm kuniambia hvyo tena na kuhusu tume kuundwan

Kubwa Jan usiku ID ya heshima ikanifataa na kunieleza niache umalayaa ntapata ukimwi, na magonjwa ya zinaa, aananitetea kwaa kua mie bado mdogo, ndo akanambia na tume inaundwaaa kunishambulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni tafrani tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom