cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Eti nn?Nipoooo hapaaa shossss nimejaa teleee
Ruksaaaa Weeee mwanahabari na msemaji mkuu wawatu selfika champaaaaaa tani yakooo na ukipata nyongo yoyote kunihusu tu usinisubiri shusha hapaa moja kwa moja ntaikutaaa!!!!










Unatafutaaaa ugomvi wa ngumii sasa, mie msemaji wa watu toka lini? Afu unanihujumuu shougaaaaaaaaaaa
Wee wa kushindwaa kuniambiaaa mie kuna tume inaundwaa kwa ajiri yangu eti naiba mabwana wa watu, mwanzo nilijuaga fix tyuuh kumbe kweli bhanaaa, tume inaundwaa kunisaulaaaaaa woiiiiiiihh.





ko unataka nisaulweee afu unipee poleee ya kinafikiiii? Ntakubondaaaa nakuambiaaa wee c ndo inabidiii uniteteee au? 









Watu wamevurugwaaaaa, km wanatoa nyapuuuu kizembeee na wanakopwaaaaa hasira kwa cocaaaa mbna sio shida zangu eti. Naombaaa uwaambie hao wana tume watakavokuja kwangu wasisahau vyeti halali vya ndoa, sita deal na michepukooooooo mie.









JF sihamiiiiii kamweeeeeh. Sent using Jamii Forums mobile app





