cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
thank you bebe
Mtoto mbichi kabisa
mie sio mbichi jamaniMtoto mbichi kabisa
Tatizo lako wewe wa kanisani
Mke mmoja hadi kifo
Mimi hiyo hapana aisee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mtu kalala na mtu wakeKapachino
Upo kaka ?
hahaha asante kwa kunikumbusha lolMtu kalala na mtu wake
Unamtafutia balaa tu
Njoo huku nilipo
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tundumahahaha asante kwa kunikumbusha lol
wewe upo wapi
Oooh vizuri
Nilikuwa kwenye daladala nimelala hoi.hahaha asante kwa kunikumbusha lol
wewe upo wapi
Sasa ole wako nisikie tena unamwita AuntHuyu ni muke wangu halali
Au nasema uongo Saint Anne ??

Ngoja niuze shamba la urithi kwa ajili yako eti
Kama ubao wa matangazo vile
hahahaaNilikuwa kwenye daladala nimelala hoi.
Ndo natoka hapa Bunju B usiku huu mnene nawaisha abiria wanaoenda mkoa.
hahah route ya kwanza umeipatia3.28 AM
Amka nikupeleke church
ukaabudu mtoto mlito.
Bunju_Goba_stand ya magufuli mbezi.
Ikirudi ni kimara_mawasiiano mwenge_kibaoni.
Dah! Mkuu unanitafunia cv bila sababuLi KENZY hilo
Shauri yako
Huwa linaibuka na kupotea
Kaa nalo mbali utakuja kunishukuru
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app