KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,765
- 86,448
nipo kakaNilijua umededi![]()
nipo kakaNilijua umededi![]()
Nipoooo hapaaa shossss nimejaa teleee🙇🙇🙇🙇Antonnia
Shougaaaaaaaaa akeee wheaaa r yuuuh?? Nimekumic bhanaaa.
Tenaaa nakuhitajiii ukujeeee hapaaaa, nikuchambeeee na huo umbea na unafiki wakoooo. Mxxieeeeeeeeew!!
Njooo afu seriously!! Sitaki unafiki miee. Ndo utanijua km ni cocaa au laaah, khaaaaaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kachagua hapaaa hebu muite akuje fastaaa cocastic fanya kutapika kabla haijachachaaa!!Tako zuri lile umchambe front of mine?
Nenda bobo kwake bhas
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
T/nyuki_ $imu 2000.hahahaa
gari lako lipi hilo ?
Zinafanana mikanda kweli nirahisi kuchanganya kama unavyosemahahah route ya kwanza umeipatia
route ya pili iwe simu 2000- tegeta nyuki .
zamani wakati nakuja huku nilikuwa nakosea nipo pale njia ya panda ya chuo
siangalii gari kama ni B/sokoni au T/nyuki .. nakuja kushtuka wakati nampaa konda hela ananirudishia mia 500,, hapo nishapanda la nyuki hivyo ..
Hahha siongei kwenye daladala mie nikiongea nakuwa nadai chenji tuT/nyuki_ $imu 2000.
Haha itakuwa nishakubwatukia Sana mtoto mlito!
Siunajua makonda tulivokuwa na maneno ya shombo tukiwa kwenye harakati zetu.
yaani hicho ndo walichokosea aisee .. hata kama yote yanapita Bagamoyo road rangi isingekuwa red basi ...Zinafanana mikanda kweli nirahisi kuchanganya kama unavyosema
Kwaiyo ulikuwa ukiumia nauli mara mbili; naunakuja kushtuka upo maeneo ya mlimani uko kiasi ambacho ukimuelekeza konda akuelewi apo.
Route nayopenda huku ni ya kawe .. haijazi sana .. ukiwa unashuka njianj nzuri kuipanda .Zinafanana mikanda kweli nirahisi kuchanganya kama unavyosema
Kwaiyo ulikuwa ukiumia nauli mara mbili; naunakuja kushtuka upo maeneo ya mlimani uko kiasi ambacho ukimuelekeza konda akuelewi apo.
Hahha siongei kwenye daladala mie nikiongea nakuwa nadai chenji tu
yeah rahisi sanaNa usipokumbusha kumbusha wengi huwa mnazisahau; mnakuja kushtuka mmeshashuka.
Mi ni ngumu Sana kusahau.yeah rahisi sana
mimi huwa nasahai dukani lakini huwa wananikumbusha haha.
Guu la bia
HahahaaGuu la bia
Miguu imenyooka na imejaa jaa! Ukiwa na guu ilo unavaa nguo yeyote na unapendeza tuHahahaa