Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,632
- 830,420
- Thread starter
- #300,181
Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama"Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine mmewakaribisha Malaika pasipo Kujua".
WARAKA KWA WAEBRANIA 13:2
Unaweza Kuta na Uzee huu nikakuletea Baraka nyumbani kwako ukinialika, bado sikukuu haijaisha Mjue
Hello Monday![]()
zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana
!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...


usikilaze.
panapo uzima nitaweka tukiaga 2022 


, Akhsante. 