Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

asante kwa kunipa moyo dear nitajaribu nione .
Rahisi sana. Tengeneza

Siyo lazima ukunje hivyo ila mm naona inapendeza.
Peleka kwa fundi cherehani atakukunjia, kama kanga tu au Vitenge vinavyokunjwa kabla ya kuvaliwa.


Msumari ukiuvalisha vinguo hivyo inasaidia mkono kutoumia.. utajikuta unashona bila mkono kuumia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20221226_145851.jpg
 
Back
Top Bottom