National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
๐๐๐๐ ni kazi moja kufurahiana tu hata hamu ya kula watoe wapiKwa kweli
Muda wa kupika maharage
Angeutoa wapi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
๐๐๐๐ ni kazi moja kufurahiana tu hata hamu ya kula watoe wapiKwa kweli
Muda wa kupika maharage
Angeutoa wapi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
๐๐๐ life is short, enjoy vile uwezavyo National Anthem karibu...๐๐๐ mmekiwashaa eeeh.. dah.. wakuu mnafaidi na kale kaupepo ka bahari .. hamchoki
๐๐๐ na kweli maisha ni pamoja na kuipa nafsi furaha.. uwapo na nafasi unahakikisha nafsi inapata inachotaka... na mie nikiamka badae nikale rahaaa๐๐๐ life is short, enjoy vile uwezavyo National Anthem karibu...
Tangu jana Nachekea tumboni mjue cheko halitokii vizuri!
!






nimechekaaaa mbavu cnaaa wallah. Wallah nikila km wee dear, huu wembamba mwshoe niambiwee nime ukwaaa,






Heri yako wee Dear, wengine sie Pangu pakavuu.Happy boxing Day!
naona wengine tutaishia kufungua vizibo vya wine![]()






anakula wine, anakuwa vizuri
Zambengaa hadi Lusaka
dah! goja nisogee ARU naweza pata chochote kitu, tukapige wine
Kwako pia mtaalamu upo Chaka ??Boksi day njema
mapumziko ya krisimasi huku, hadi mwaka upindukeKwako pia mtaalamu upo Chaka ??
Hayaaa mawindoo memaaa.dah! goja nisogee ARU naweza pata chochote kitu, tukapige wine





Sijanywa long time nataka leo nimjaribu Hennesy nione hiyo taste inayowafanya slay queen waipapatikie





dear bhanaaa, wee enjoy maisha mafupi hayaa. nikikubahatisha wewe njiani itapendeza ๐๐
Genius ako wapi akuletee hata bouquet of roses