Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Huyu sungura mpitie kushotonikikubahatisha wewe njiani itapendeza [emoji7][emoji7]
Nimewahi booking
Katafute swala paa huko
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Huyu sungura mpitie kushotonikikubahatisha wewe njiani itapendeza [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo zangu library, mwenzenu nimetumwa na kijiji kuja kusomaaa,, oooooooh sitaki masikharaaa.nikikubahatisha wewe njiani itapendeza [emoji7][emoji7]
Vitambaa chukua kwa mafundi cherehaniSaint Anne habari kipenzi
natamani kutengeneza door mat ile ya kitambaa .
naomba kuuliza napata wapi vile vitambaa ?
Nimeamkaaa poaaa dear, tupo library tunasomaaa.Genius ako wapi akuletee hata bouquet of roses
umeamkaje babe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaa!!! Wigee una nn wee lakini??Huyu sungura mpitie kushoto
Nimewahi booking
Katafute swala paa huko
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
weh usiniambie kuwa mikono inaharibikaVitambaa chukua kwa mafundi cherehani
Huwa wanakuwa navyo vingi, utakuwa umewapunguzia mzigo wa kuvitupa na wewe pia watakuwa wamekusaidia.
Ila jiandae mikono yako kuharibika.
Hahaha chezea wewehNimeamkaaa poaaa dear, tupo library tunasomaaa.
Badalaaya kufungua zawadi, tunafunguaa vitabuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaharibika acha tuweh usiniambie kuwa mikono inaharibika
natakaa kimoja tu ..
duh
Thank you Anne
Nitake radhi ww binti nilikuwa kanisani JanaMissed calls hukusikia wakati umekakamaa huko bite😁😁!!
kimoja eehh ..Inaharibika acha tu
Kucha
Vidole vinapata sugu.
Hadi muda upite pite ndio vinajurudi.
Kimoja tu??
Shona hata vitatu angalau mkono hautaumia sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Weka sasa picha [emoji3059]Mnyonya Mbususu na Wigelekelo walimu wangu asanteni. Leo nimefanya majaribio, nimeweza. [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Tayari nimeshaweka ya breakfast, picha yangu bila uso 😛 panapo uzima nitaweka tukiaga 2022 😆😆😆😆😆😆