Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anawasalimu kwa jina la Jamhuri ya MT.
20221226_122934.jpg
 
aiseee kazi sijui kama nitatengeneza hahaa
nikiviona nitavinunua ..
asante
Rahisi sana. Tengeneza

Siyo lazima ukunje hivyo ila mm naona inapendeza.
Peleka kwa fundi cherehani atakukunjia, kama kanga tu au Vitenge vinavyokunjwa kabla ya kuvaliwa.


Msumari ukiuvalisha vinguo hivyo inasaidia mkono kutoumia.. utajikuta unashona bila mkono kuumia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom