Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ndio Nini sasaSana tu, in every action there must be an opposite and equal reaction!!!
Ukoje lakini?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ndio Nini sasaSana tu, in every action there must be an opposite and equal reaction!!!
Nikija utanipeleka wapi kati ya hizo jirani yanguNa hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.
Sijaweka Mopao- Moshono
Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive
Sijaweka Orlando yako
Sijaweka The Don
Sijaweka Viavia kwa wqzungu
Nipo njiani naenda kwa bro

Asante mamy nishapoa!Pole dear,wezi wanarudisha nyuma.
Nipoooo nimetingwa na upelelezii rafiki!!😁!!Na nimemwambia afanye majaribio hata mkono wake tuuone kaingia mitini! Cjui kwanini watu wenye wowowo wana aibu sana ukianza na mama yangu Rumaiya na Bantu Lady kasoro muhanga wa ujambazi aliyeibiwa mabeseni mchana kweupeee yeye huwa hana aibuu wapi boss lady Antonnia
Missed calls hukusikia wakati umekakamaa huko bite😁😁!!
Tangu jana Nachekea tumboni mjue cheko halitokii vizuri ☺️☺️☺️☺️! 😊😊 !
Antonnia shougaaaaa angu kumbe wana vicobaa wamekuja kuhamisha chao, poleeeeeeeh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning beautifulMissed calls hukusikia wakati umekakamaa huko bite😁😁!!
Morning babegirl nimeamka poaa kipenzi how's you??Morning beautiful
mmeamkaje ?
nipo poa kabisa dearMorning babegirl nimeamka poaa kipenzi how's you??
Iko poa sana dear!nipo poa kabisa dear
habari ya jumatatu
sijaandaa hataIko poa dear! ushaandaa zawadi 😛??
Wee mzunguu hayo mambo ndio penyewe bana!! 😁sijaandaa hata
sijazoea hayo mambo .
sikumbuki last time kupewa zawadi 😆😆
mzungu wapi 😅😅Wee mzunguu hayo mambo ndio penyewe bana!! 😁
😂😂😂 Eti nashukuru imeisha hahah kwanini??mzungu wapi 😅😅
christmas yenyewe nashukuru imeisha ..
boring aisee😂😂😂 Eti nashukuru imeisha hahah kwanini??