Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,410
- 4,870
Weekend isiyo na jua ni burdan tosha
Weekend isiyo na jua ni burdan tosha
Yule apewe ya heshima,ila hii ni ya CocaNimeshangaaa sana ila acha wamuweke TU ngoja tumpe koka warumi apewe ya heshima
Kabisaaa yaani
Wacha wee, full ku enjoy hongereni sanaWeekend isiyo na jua ni burdan tosha
Hahaha............... Huyo sophy27 alikuwa anaomba kitabu nilichoposti Jana Mjukuu na sio hiko kingine 🤗Babu Grahams nimeitwa na Wigelekelo nije nione unachotuma..
Eniwei…hicho unachomtumia sophy27 usinisahau mjukuu wako.chagua…njia hii au ile.Kesho sikukuu babu na hapa niliposijielewi ujue.
Nyie wafanyakazi angalau mko na uhakika
Fanya mjukuu wako nifurahie sikukuu babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbelee km kawaida yako, yaan huachiii tyuuh.Nimekuja Makumbusho kuonja bisi
Maisha ndio hayahayaView attachment 2456622View attachment 2456623
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mbona una wasiwasi na Mimi Mkuu?
Nimeonja bisi weeee,nikashiba nikanunua moja.Sasa naondoka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbelee km kawaida yako, yaan huachiii tyuuh.
Uko makumbushoo had mda gan? Ntakua hapo SAA 11.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Chagua mwenyewe, ila najua njia ya Basi ni nzuri zaidi.😂😂Njia gani sasa
Unarud home au.Nimeonja bisi weeee,nikashiba nikanunua moja.Sasa naondoka.
Wasitutanie Hawa..Au wanataka wakunyime😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo.Natafuta sehemu nyingine wanayoonjesha vitu nikaonje vingine😁
Nimekuja Makumbusho kuonja bisi
Maisha ndio hayahayaView attachment 2456622View attachment 2456623
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile appnao
Siti ya mbele kabisa😆Nimekuja Makumbusho kuonja bisi
Maisha ndio hayahayaView attachment 2456622View attachment 2456623
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huenda kuna wanaye mtaka, wakaona wamuweke na marehemu ili kupindisha nisipatee.Wasitutanie Hawa..Au wanataka wakunyime[emoji2]
Ko leo wee unakua onja onja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo.Natafuta sehemu nyingine wanayoonjesha vitu nikaonje vingine[emoji16]