Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,429
Hamjambo humu?
haina usumbufu kama seat za nyuma .
Karibu sana dadaNipo nasubiria unialike sikukuu 🙂
Nipoo Wigeee nina B wangu anitoshaa miee yuko fit kila idaraa!!!! No hekaheka enimoo!!Nimekuacha na wajukuu zako
Halafu Antonnia sijamuona Leo
Umemficha wapi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wee usiniambie😀Nipoo Wigeee nina B wangu anitoshaa miee yuko fit kila idaraa!!!!
Ndoivo mamy!! Sitaki hekaheka tena Humu !! Teeeeeeenaaahhh🙌Wee usiniambie😀
Kabisa, Na Mimi ndio maana huwa naiwahi maana hakuna atakayenibugudhihaina usumbufu kama seat za nyuma .
Jifariji tuNipoo Wigeee nina B wangu anitoshaa miee yuko fit kila idaraa!!!! No hekaheka enimoo!!
kweli kabisaKabisa, Na Mimi ndio maana huwa naiwahi maana hakuna atakayenibugudhi
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Heeeeeehhhh Mie na Vibenten barobaroooo Wapi na Wapi wigee uwii!!Jifariji tu
Unadhani watakata tamaa
Thubutuu
Hivi ndio ameakuchia mida hii
Huyu kijana
Carrasco putin ?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tupo mkuu ,, tunaelekea kusalimia watoto wa nje ya ndoaHamjambo humu?

Unalala saivi una Raha ganiUsiku mwema wapendwaaaa! Enjoy your weekend and take care guys!
kitanda kinajua kumbelelezaUnalala saivi una Raha gani