cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,025
Ahsanteeeeeeh sanaaa, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tayari nshafanya yangu mlongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteeeeeeh sanaaa, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tayari nshafanya yangu mlongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee chizi wee.Hapo Sasa
Unataka kula mafao tu
Hakuna nitakachofaidi
Zaidi ya kuipapasa tu
Wenye visukari wanakuongeni
Muwafichie siri
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sasa atachukuaje hizo zawadi?Na isitoshe alifariki August mwaka jana, sio mwaka huu.
Nweeiii atakaeshinda ndo huyo huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwaka huu wote hakuwepo, maana yake yuko nje ya vigezo.Sasa atachukuaje hizo zawadi?
Wao kama wangetaka kumpa wangetoa tu namna Nzuri ya kuwapa
Eti tunapigia kura mmechanganywa na watu ambao hawapo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Babu Grahams nimeitwa na Wigelekelo nije nione unachotuma..
Nimeshangaaa sana ila acha wamuweke TU ngoja tumpe koka warumi apewe ya heshimaSasa atachukuaje hizo zawadi?
Wao kama wangetaka kumpa wangetoa tu namna Nzuri ya kuwapa
Eti tunapigia kura mmechanganywa na watu ambao hawapo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hivi nani alikuwa anaselect Jamani chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwaka huu wote hakuwepo, maana yake yuko nje ya vigezo.
Ingekua mwaka jana sawaa, si alikaa had robo 3 ya mwaka. Ila mwaka huu wote hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pazuri hapoo
YaaniNimeshangaaa sana ila acha wamuweke TU ngoja tumoe koka warumi apewe ya heshima
KashesheBabu Grahams nimeitwa na Wigelekelo nije nione unachotuma..
Eniwei…hicho unachomtumia sophy27 usinisahau mjukuu wako.chagua…njia hii au ile.Kesho sikukuu babu na hapa niliposijielewi ujue.
Nyie wafanyakazi angalau mko na uhakika
Fanya mjukuu wako nifurahie sikukuu babu
haya ma snow yao wayazime basi.. anendeleje lakini 😁😁😁😀Aunt bhana
Naomba kalamu moja
Ndo inavyokua.Hivi nani alikuwa anaselect Jamani chaa!
Hata Rais alipokufa tunaendelea kumuenzi lakini majukumu yake akachukua mwingine maana yeye hayupo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Acha kubadilisha maneno wige
Yanaumiza macho[emoji1787]haya ma snow yao wayazime basi.. anendeleje lakini [emoji16][emoji16][emoji16]
yanazingua kweli , hawa jamaa wapo ki local sana.. yanafaida gani sasa kuyaangalia, bureeee kabisaaa nao🤕🤕🤕
😂😂Njia gani sasaNikutumie kwa njia ya posta au ile njia nyingine?🤪