Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,526
Christmas njema kwako pia Mkuu, Mungu atupe nafasi wote tuuone Mwaka mpya 2023.Nice book...
Practical...
Krismasi njema na heri ya mwaka mpya Mhandisi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Karibu nyumbani tujumuike pamoja, hata kama tuna tishio la kupanda kwa Ada na michango ya watoto wetu shuleni Januari, 2023 lakini hatutakosa Kuku na Mbuzi wa kuchoma kipindi hiki Cha Sikukuu, karibu Sana🙏🥂


