Baadhi ya vipande vya hii movie vimenikumbusha kitambo kidogo
Mnaanza maandalizi ya kupika mkiwa pamoja
mara hujamaliza kukata vitunguu ushalambwa shingoni muda mrefu kishenzi
View attachment 2455825.
hujakaa sawa unaachana na vitunguu unapiga game kwanza
ila nyie mapenzi ni matamu sana kukiwa na urafiki na usela ndani yake