Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Niko poa kabisa Mungu ni mwema..But uko poa lakini?
Habari ya maandalizi ya sikukuu
Niko poa kabisa Mungu ni mwema..But uko poa lakini?
Itabidi niwafanyie conference sasa mnisimange vizuriWewe unajua kiasi gani navyompenda mdogo angu; mfikishie salamu zangu za upendo na shukrani

Ni nzuri japo la kushukuru Mungu atufikishe salamaNiko poa kabisa Mungu ni mwema..
Habari ya maandalizi ya sikukuu
Mimi mipango yangu ni kuendelea tu kusafisha kwapa 😂Happy belated birthday Heaven Sent .Mungu akutunze ndugu yangu.
Hivi Saint Anne anaendeleaje na mipango? Pep nae my shemeji darling nae!!.
Ninawakumbuka sana nyie watu watatu
![]()

Hahaha
Wow beautiful
Really 💯💯Amaizing God - Joel Lwaga .
Iko attached na DNA
hahahahaSijalipata
Hakika .. mzima ?Really 💯💯
God bless 🙏🙏🙏🙏 mzima weweHakika .. mzima ?
nipo poa na wewe ?God bless 🙏🙏🙏🙏 mzima wewe
Ndio, wapi?nipo poa na wewe ?
karibu tumsifu Mungu
Huko ulipo ..Ndio, wapi?
Sisi ni kesho usiku tunakesha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Huko ulipo ..
Jumapili hadi ibadani karibu tusherekee kuzaliwa kwake Yesu .