Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
😂😂Tumtie katika maombi aamke kutoka usingizini 😁
Kwaniunaharibu sasa anko wige we nae.acha watu
labda hawajuiKipi cha kushangaza hapo nilipoita mpenzi?
Hujawahi itwa mpenzi humu Jf daddy?
Umeshaonywa my love,msikilize wige tafadhaliFanyeni mnipe mbwinu Wigee naona babuu etu ana experience ya kutosha hapooo afanye kunipasia maarifa mjukuu hapa!
Haya weka sawa sasa.
Weeeee kama hivo Hapana mwambie asinipe mbwinu aiseee🏃🏼♀️🏃🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
hahahaha,kushindwa nn
Kwenye msosilabda hawajui
Haya weka sawa sasa.
Ndugu mtanzania mwenzangu wewe ni mkuda sana![]()

Nimewachaaaa dearrr nimekomaaa🙌🙌🙌 sitrakiii tena hizo mbunu aiseee!!😎Umeshaonywa my love,msikilize wige tafadhali
😂😂Hapo upate na maharage yaliyolala yaliyoganda pembeni ya sufuria Yale😂😂😂Baada ya kumaliza parizi ya shamba.
Kama kawaida yetu nikipata chai na ugali.
View attachment 2455447
Punguza wivu ndugu mwananchi mwenzangu.mwache babu Grahams ayafurahie maisha
Beautiful Ajjaatttt...Jumaa MubarakView attachment 2455914
hahahaha,ucjali
Umejibiwa?hahahaha,kushindwa nn
NakusalimiaUmejibiwa?
AhsanteeeBeautiful Ajjaatttt...
Unavaa kwa staraaa hadi raha![]()

Acha wenge sasa