Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsanteeeeeeeh dada mpoleeee na mtulivu, na mie nimeingia ukubwani sasa, inabidi nipunguze kuwachekesha, maana uzee haupigi alarm, ni vuu huu hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] ubarikiwe sanaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Enjoy tu maisha bhana
Uzee utajijua wenyewe
Maisha ndo haya
 
Hesabu 6: 24-26

Bwana akubarikie na kukulinda,
Bwana akuangazie nuru za uso wake ..na kukufadhili,
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani,
cocastic [emoji3590]
Dada yaan hapo najionaaa niko mpyaaaaa!!!! Amani kwangu itawaleeee mileleeee, furaha na Amani kwangu ni vya msingi mnoooo.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una list ndefu ya walio kuacha? Au ulio waacha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kuamini nawee huwa una achwaa, nweiiiiiiiii.
Ni bora mtu umuambie ukweli mapemaa kabla hamjazama mapenzini ili afanye maamuzi, akikutwa na jambooo asiwe wa kumlaumuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅 Nimeachika sana na kubwa kuliko kuna mdada chuo enzi hizo nime mtoa out .. kakutana na jamaa kaingia mkenge nikaanza kupangwa ni kaka yake nikaachwa kikatili, nikarudi hostel peke yangu yeye nikamuacha na kaka yake, miaka 11 mbeleni kaja kitaa anatafuta nyumba, akapewa namba na dalali kajieleza simjui na hanijui , nikamuambia nitakuja hapo niwape funguo mkague. Nimefika mwamba ( baba mwenye nyumba nasikilizia mteja ) malaa paaap huyo mtoto Vanessa 😅😅😅 aibu ya hatali shangazi la watu.. nikajidai sijarii.. akapapenda nikawaacha na dalali nikasepa.. siku akanipigia ananioamba tuonane 🤣🤣🤣🤣 nikalipwa hasara zangu zote za miaka iliyopita ila hiyo sio karma ni dunia duara .. inashort kuachana kupo inakuwa tatizo unapo ona hustahili kuachwa.. usimuamini mwanadamu 100% mwanadamu anaweza akawa chochote na mda wowote.. watu tunakutana na mengi.. ila kujifunza kukabiliana na yanapotokea..
 
Back
Top Bottom