Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mmmh kasema wapiAnakutaka wewe sema anazuga
Wewe ndo kipenzi chake .
Mmmh kasema wapiAnakutaka wewe sema anazuga
Si ndo hapo sasaUkubwa gani anao
Utoto gani ulionao
Kwani haitaingia
Hizi salaam zenu za kejeri
Zitawacost
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hahahahaha,chief umetishaUkubwa gani anao
Utoto gani ulionao
Kwani haitaingia
Hizi salaam zenu za kejeri
Zitawacost
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Una list ndefu ya walio kuacha? Au ulio waacha?Unadanganywa huna akili na macho ya kuona ? na kama unadangnywa maana yake unatamaa .. kudanganywa ni kama mtego .. sasa unawekewa mtego unanasa maana yake hukutumia akili vizuri kama.. na wengine hawadanganywi mtu anaweza kuwa na nia njema ila ukikaa na mtu ujue unaonamuona kama mchele au pumba .. unajikuta hapo mbeleni tutachoma moto.. kwanini msiachane au usiache .. kuachwa kupo tu, nina list ndefu sana ya walio niacha asee na sio kwamba waliniacha kwa mabaya au tuliachana kwa ubaya.. ila nikaja jifunza kitu ( mapenzi kudumu inatakona na aina ya scarifier -) hadhina yako ilipo ndio moyo wako ulipo.. kama hakuna exchange kati ya wote na ukiona halipo hilo kati yenu jua hamdumu hata uroge






sitaki kuamini nawee huwa una achwaa, nweiiiiiiiii. Nipotee niende wapi?umepotea ghafla,kipenzi
Wacha weee,raha ya mapenzi ingia mzima mzima kama mtaliban vile najitoa muhanganishakuwa sugu.. ukimpiga chura unamuongezea speed ndio mimi.. ukiniacha unanjsogeza kwa pisi kali zaidi








Nitaenda kusali KeshoBusega
Mnalamba supu ya sato tu
Uende kusali
Sabato imetamalaki huko
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
nitajuaje kipenzi,labda umetekwa na kufichwaNipotee niende wapi?
Ukubwa gani anao
Utoto gani ulionao
Kwani haitaingia
Hizi salaam zenu za kejeri
Zitawacost
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
twende woteNitaenda kusali Kesho
Siku nikitekwa nitakwambia kipenzinitajuaje kipenzi,labda umetekwa na kufichwa
Ahsanteeeeeeeh dada mpoleeee na mtulivu, na mie nimeingia ukubwani sasa, inabidi nipunguze kuwachekesha, maana uzee haupigi alarm, ni vuu huu hapa.










ubarikiwe sanaaa. duhAnakutaka wewe sema anazuga
Happy birthday mdogo wangu kipenzi changucocastic ...Mungu azidi kukuinua na uzidi kufanyika kichwa na sio mkia..Cha kufurahi wangu..napenda kukuona ukifurahi kila iitwapo leo..
Ishi Sana mdogo wangu..Dada rumee anakupenda mnooo.. happy birthday
cheupe wangu ..furahia siku yako.
![]()














, na iwe hivii mileleee. 





Nitakustua..uninunulie na nguo ya kwendea kanisanitwende wote
usijaribu kuniambia,maana nitakufa kwa preshaSiku nikitekwa nitakwambia kipenzi
Ahsanteeeeeee my chibongeeeee,Happy birthday to you![]()






