Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
hahahaha,kipenzi we acha tu,uzee haupigi hodiNani alikwambia uzeeke sasa kipenzi jamani…
😂😂
hahahaha,kipenzi we acha tu,uzee haupigi hodiNani alikwambia uzeeke sasa kipenzi jamani…
😂😂
Ndio Mzee ?hahahaha
hahahahaSasa unafikiri hata hiyo holidei tunayo basiii…Woi
Kwani salamu zimeisha Mpaka umsalimie shikamoo…😂😂Hahaha mmh sijamuwekea mbona
Salamu tu hii .
Umeamkaje dear ?
Unadanganywa huna akili na macho ya kuona ? na kama unadangnywa maana yake unatamaa .. kudanganywa ni kama mtego .. sasa unawekewa mtego unanasa maana yake hukutumia akili vizuri kama.. na wengine hawadanganywi mtu anaweza kuwa na nia njema ila ukikaa na mtu ujue unaonamuona kama mchele au pumba .. unajikuta hapo mbeleni tutachoma moto.. kwanini msiachane au usiache .. kuachwa kupo tu, nina list ndefu sana ya walio niacha asee na sio kwamba waliniacha kwa mabaya au tuliachana kwa ubaya.. ila nikaja jifunza kitu ( mapenzi kudumu inatakona na aina ya scarifier -) hadhina yako ilipo ndio moyo wako ulipo.. kama hakuna exchange kati ya wote na ukiona halipo hilo kati yenu jua hamdumu hata uroge
nafanya na veterans muda bdNdio Mzee ?
Ushafanya tizi
😩😩😩hahahaha,kipenzi we acha tu,uzee haupigi hodi
raha ya mapenzi ingia mzima mzima kama mtaliban vile najitoa muhanga 😅😅😅😅 nishakuwa sugu.. ukimpiga chura unamuongezea speed ndio mimi.. ukiniacha unanjsogeza kwa pisi kali zaidisasa wee nae unaingia miguu yote, akili iko mikononi hapooo tyuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅 kukalia kitiMara wa Tisa
Sijui wa nane
Nini hiyo mkuu
Halafu dadake
Unampa maneno magumu
Akaukalie wapi na akaukalie unini?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Umeongea kitaalamu mno…Unadanganya huna akili na macho ya kuona ? na kama unadangnywa maana yake unatamaa .. kudanganywa ni kama mtego .. sasa unawekewa mtego unanasa maana yake hukutumia akili vizuri kama.. na wengine hawadanganywi mtu anaweza kuwa na nia njema ila ukikaa na mtu ujue unaonamuona kama mchele au pumba .. unajikuta hapo mbeleni tutachoma moto.. kwanini msiachane au usiache .. kuachwa kupo tu, nina list ndefu sana ya walio niacha asee na sio kwamba waliniacha kwa mabaya au tuliachana kwa ubaya.. ila nikaja jifunza kitu ( mapenzi kudumu inatakona na ainda ya scarifier -) hadhina yako ilipo ndio moyo wako ulipo.. kama hakuna exchange kati ya wote na ukiona halipo hilo kati yenu jua hamdumu hata uroge
kipenzi
Kamsapoti kwenye hiyo tizi sasa we naeNdio Mzee ?
Ushafanya tizi
kwakua asubuhi, goja pakuche kila kitu kinapotea kichwani 😅😅😅Umeongea kitaalamu mno…
Naam kipenzikipenzi
uje wewe kipenzi,nakusubiriKamsapoti kwenye hiyo tizi sasa we nae
nimekumissNaam kipenzi
Kwamba jua itakuwa imechemsha kichwa😂😂kwakua asubuhi, goja pakuche kila kitu kinapotea kichwani 😅😅😅
Mimi na mazoezi ni Magufuli bus terminal na Airportuje wewe kipenzi,nakusubiri
Maisha yanatuvuruga sana, hapo ukikutana na wanao nidai na ninao wadai tukiisha wakiana tu dishi linayumba 😔😔😔.. nikishapata na ka tusker bariidi mambo yanakuwa juu chiniKwamba jua itakuwa imechemsha kichwa😂😂
Aise hata mimi…location inasoma nchi gani 😂😂nimekumiss