Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ukubwa gani anaoHahha sina cha kukunyima lol
Sasa wewe mkubwa bhana .
Kanisa lipi hilo dear?? Huenda naweza kusogea sogea.Napenda praising ndo maana napenda Ibada .
Amen ngoja tusali , mambo yaende haijalishi changamoto ipo siku tutatoboa .
Nasali karibu na chuo chenu hapo .
Tupooooooo dear Chibongeeee!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hajambo humu mjengoni watu wangu wa nguvu?
umepotea ghafla,kipenziSasa unafikiri hata hiyo holidei tunayo basiiiβ¦Woi
BusegaHajambo humu mjengoni watu wangu wa nguvu?
Anakutaka wewe sema anazugaNaona anakutaka wewe .
Nenda anakusubiri
πππhahahaha,ushanipoteza
Ameeeeeeeeeen!!! Much thanks ma chibongeeeee. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Happy birthday cocastic my loveβ¦
Ishi sana mwanangu mwenyeweβ¦
Haya keki inalikia wapi??toa miongozo tujumuike.
Xoxo
chief mambo vpMjeda hongera sana
Habari ya beaco
Mmeamkaje huko mkuu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Karibu kigamboni
kipenziπππ
Happy birthday to you π
ππAsante rafiki
I miss you too[emoji3059]