Kipenzi mambo…huwezi kukosa picha,sema labda hutaki
Mbona una muwekea kipenzi changu vikwazo jaman.???Shikamoo kaka
Huko sina nilijualo mshamba mie hahaha halafu siwezi mambo ya kufundwa basi nipo nipo tu mie .
ok! SawaNi kweli jamani
Memory card yangu imenisaliti , najuta sikufanya back up kwa google na sidhani kama zipo kwa flash .
Picha zangu dah .
poa kipenzi,mambo vp? Unaendeleaje?Kipenzi mambo…
sijamboo,kipenzi,upo?Hujambo mtu chake
Mbona una muwekea kipenzi changu vikwazo jaman.???
Shikamoo hiyo vipi tena T bwanaaaaa…😂😂
Naendelea vyema sana Sijui wewe…naona unaekewa kiuzibe na shikamoo 😂poa kipenzi,mambo vp? Unaendeleaje?
Unafikiri nitaenda wap mie kipenzi???nipo na joto letu hili la bongo nyososijamboo,kipenzi,upo?
Acha mambo ya ajabu basi T..Mweh najua Mtu chake ni mkubwa
Ndo maana namsalimia
hahahaha,humu nishazoea kuwekewa kauzibe,mnataka vijana wenzenu,wazee mnatubaniaNaendelea vyema sana Sijui wewe…naona unaekewa kiuzibe na shikamoo 😂
hahahaha,nyie wenye nchi,huchelewi kusikia uko holiday sehemuUnafikiri nitaenda wap mie kipenzi???nipo na joto letu hili la bongo nyoso
hahahahaha,we mbn umeniwekea 'vikwazo'Acha mambo ya ajabu basi T..
Ukubwa huo kwema!!hebuuuu….💃
Usimuwekee mwenzio vikwazo basi😂
Acha mambo ya ajabu basi T..
Ukubwa huo kwema!!hebuuuu….💃
Usimuwekee mwenzio vikwazo basi😂
Nani alikwambia uzeeke sasa kipenzi jamani…hahahaha,humu nishazoea kuwekewa kauzibe,mnataka vijana wenzenu,wazee mnatubania
hahahahaMweh najua Mtu chake ni mkubwa
Ndo maana namsalimia
Sasa unafikiri hata hiyo holidei tunayo basiii…Woihahahaha,nyie wenye nchi,huchelewi kusikia uko holiday sehemu
Mimi huyu huyu…unanichumia zambihahahahaha,we mbn umeniwekea 'vikwazo'