Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Niko bomba jiraniSijambo jirani, unaendeleaje
Niko bomba jiraniSijambo jirani, unaendeleaje
Santee 🥰Umependeza mamaa 😘😍😍😍
Nakwako pia dear!!!😍😍 Good morning 😘Ijumaa Kareem wapendwa❣️
View attachment 2448499
Thanks dear😍Nakwako pia dear!!!😍😍 Good morning 😘
Niko poa sana mamilooo!!Thanks dear😍
Za wewe
Zipo ovyo mkuu , nguvu za kupiga picha sina .Ebu tuone
InapendezaNiko poa sana mamilooo!!
Ndio kufanyeje huko.. sasa Sie ndio washamba ile typical 😁😁. Wengine ndo wanatuita rough hivyo yaani
Kama mie nimezidi sijatrim eyebrows yaani hapa natisha ..
Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzzZipo ovyo mkuu , nguvu za kupiga picha sina .
Wee Lenie mmemfanya nini mr vocha mbona sikuhizi hatupii ma selfii lakini??Santee dear
😂😂😂😂😂Nimecheka..kustream Tena!!..Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
🤣🤣🤣🤣😂😂 Ushamba mzigo dear🤣😂😂😂😂😂Nimecheka..kustream Tena!!..
Kutinda nyusi dear tuNdio kufanyeje huko.. sasa Sie ndio washamba ile typical 😁😁
Embu tuone hizo nywele tank mrembo Cha upoleKutinda nyusi dear tu
Nahisi hujanifikia mie nipo na nywele tank hapa kwa kichwa na sina habari .
January Ntapita kuwasalimia hapo gym kuna gym ya kupunguza kitambi??🤣🤣Hahaa huko nitaenda jioni
📸
Kuzitinda tu nyusi ziwe zinapendeza na kuvutia ...Ivoivooooo tuone namie nijue maana ya kustream eyebrow pullliiizzzzzzzzzzzzzzz
Ahaaa kumbe!! Hauna ka selfii ka Nywele tank nionepo kipenzi??😁Kutinda nyusi dear tu
Nahisi hujanifikia mie nipo na nywele tank hapa kwa kichwa na sina habari .