Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwanaumeeee kwamba hujui kesho ni b'day ang? Mbna cake na shampen bado sijaonaaaa?? Kabla ya saa 12 niwe nshapataaaaa.

Hebu muambie kwa sauti, uzuri mie n mzungu wala sina kwereee. Kuweni huruuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu kokooo!! Ulimwengu mzima utajua Mbona kuna wa kuambiwa sio shosss akee weweeee!!
 
Jana alitupia, me niliishia kuona tu comment ya cocastic akimmwagia misifa

Mjep blaza, selfika basi tumekumiss
Huyo ni mume wa mtu, mnataka wa nn? Mnajua uchawi wa kingoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa nshatoa [emoji3544] lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kopeee[emoji119]
Jaribu waweza pendeza my dear...Mimi kope hapana kwakweli niliwahi jaribu weka zile za moja moja..kutoka salon Hadi nafika home jicho moja sinazo ..machozi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile siku loh..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio niliambiwa "hujioni uko km Jini maimuna" nilitoa fastaaaaaa.
Ntakufa niko hoi, kila kitu lazima nijaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom