Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwambie Shouzyyy akupe namba yangu
Au ngoja nimwambie cocastic azibe masikio unambie hapa hapa[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwanaumeeee kwamba hujui kesho ni b'day ang? Mbna cake na shampen bado sijaonaaaa?? Kabla ya saa 12 niwe nshapataaaaa.

Hebu muambie kwa sauti, uzuri mie n mzungu wala sina kwereee. Kuweni huruuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂Kopeee🙌
Jaribu waweza pendeza my dear...Mimi kope hapana kwakweli niliwahi jaribu weka zile za moja moja..kutoka salon Hadi nafika home jicho moja sinazo ..machozi Sasa😂😂😂😂ile siku loh..
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 lol Hapo siwekii walai!
 
Back
Top Bottom