Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Karibu kwenye chama la short hair 👌Afu nimechoka kusuka sasa!!
Karibu kwenye chama la short hair 👌Afu nimechoka kusuka sasa!!
On my way there yaniii nikifumua hizi nahisi kunyoa kabisa!Karibu kwenye chama la short hair 👌
Utadamshi sanaOn my way there yaniii nikifumua hizi nahisi kunyoa kabisa!
Oh pole, kuna muda inachoshaAfu nimechoka kusuka sasa!!
Hebu rekebishaUtamwambia Anne haamini nimekua kimodooo!
Sikuhizi nameinteinn lol!!
Yeah kunyoa ni rahaUtadamshi sana
Hautapata stress za saluni tena
Kweliiii muulize Lenie...nimepita naked kabisaaa
Bhas sawaKweliiii muulize Lenie...nimepita naked kabisaaa
Hujaoga tu uselfike msukuma???
Panga linaamkajeKuna watu mmeamka kama panga
Ni gharama balaaYeah kunyoa ni raha
Sasa hivi bei za vitu zipo juu ,ununue mafuta ya maji , gel, mafuta ya mba , hairspray , conditioner na kasteaming .
Bado hujaenda saluni hapo
Naunga mkono hoja ....
Asante shemeji akeeAiseee shemeji umenoga![]()
Hatari tupuNi gharama balaa
Santee dear 😍Umependezaaaa😍😍
Simama kidogo nione kishati 😁
Hahahaa eti mshambaHatari tupu
Kuwa mwanamke shida sometimes lazima ujiweke fureshi ila ukiamua unakuwa mshamba kama mimi .
Hakuna mshamba hapo!Hatari tupu
Kuwa mwanamke shida sometimes lazima ujiweke fureshi ila ukiamua unakuwa mshamba kama mimi .