Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Chura punguza vituko na wako uhayawani
Umezua sokomoko watu hawaelewani
Ukivunjika ugoko, dawa atakupa nani

Patricia hillary anajua bhana
IMG_20221215_181604.jpg


Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Yani kama mbape ni mtoto wa shangazi kbsa ana asili ya upare yule kwahyo nawa support France [emoji91][emoji91][emoji91]
Anaitwa Mbappigwe Mwalunyasyo
Wa pale Kiwila Tukuyu
Homeboy kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom