cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,237
Marahaba doc.

😅😅😅 Ataweka sana lindo hapa.. Aje kitaa tu huyu vipo visu vya nyota tano.. Hapa atachoma mahindi..Ngoja aje National Anthem akupe mwongozo 🤣🤣🤣
Unaniwaza we msukuma
Ukiwazwa unajiongeza sasa, si unakaa kaa tu unashangaa 😅😅😅😅Unaniwaza we msukuma
Kitu Rumaiya mtu mwenye malighafi zake za thamani 😁😁😁Subutuuuu
Hata sijuiagi kujiongeza mie bado mdogo mtoto wawatuUkiwazwa unajiongeza sasa, si unakaa kaa tu unashangaa![]()
Njoo ufanyiwe maombiUna vitu adimu
Naachaje sasa
Ndio ukakuzwe sasa, unakuwa mtoto unaendelea kukaa na utoto tenaaa.. Usogee kwa haraka ufundishwe ukubwa 😁😁Hata sijuiagi kujiongeza mie bado mdogo mtoto wawatu
Nenda akakubarikiOh
Pale kati eeh
Sawa chap kwa haraka
Haha, nawaambia hawa jamaa sio waafrika, wametokea tu kuwa kwenye bara hili.Wangetolewa tu washenzi View attachment 2438301
"Belongs to all Arab peoples"Wangetolewa tu washenzi View attachment 2438301
Mi siwashabikii kabsaaWangetolewa tu washenzi View attachment 2438301