Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Hau fanani na ukorofi, nani anakufundisha ukorofi?
Hau fanani na ukorofi, nani anakufundisha ukorofi?
Ukorofi na mimi damu damuHau fanani na ukorofi, nani anakufundisha ukorofi?
Bora wasijue watakusumbua sana😊
Chuchu konzi
Nyie hapo mnaochora picha tofautiNdio yupi Huyo fundi maiko
Mmama huyoHuyo ni mwanadada sema amevaa mavazi ya kimama
Hongera sana mkuu...Bora wasijue watakusumbua sana😊
Asante sana mkuu!Hongera sana mkuu...
Mmmh wewe
26 ni mdogo? Yaan floor ya 3 bado 4yrs. WeeeHata huyo ni mulemule
😳😳😳Mhhhhh haya basi yaishe17/12 natimiza 26.
Soon!!! Mie mkubwa.
Mhhhh hapana Cha mmama Wala nn hapo
Subutuuuu17/12 natimiza 26.
Soon!!! Mie mkubwa.
Ndio mkubwa saname mkubwa eti.
🤣🤣🤣🤣🤣Apiaaaahme mkubwa eti.
Mie kesho ntapiga picha lazima alfu ntakutag nkiituma