Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna app niliiweka pale ya ku stream nimelipia nimesahau credentials ukinipa tecno itabidi nilipie tena..
Kuna App ya football ninayo
Hata MB 500 hazikatiki Kwa mechi

MB 500 kwako ni kitu kidogo

Halafu hiyo uliyolipia nitaitumia Mimi.
Ni sadaka yako Kwa Mungu.
 
Amen amen Amen best akeee!!
Ndoa ni Jambo jemaaa na la baraka heshima pia I'm very happy for you dears!!!

Nawatakia kheri baraka na amani na mafanikio, heri pia ya mwanzo wa mwezi, nawaombea ukawe mwezi mzuri kwenu na mwisho mzuri wa mwaka kwenu pia , muwe na wakati mwema na maandalizi mema best akeee tupo pamoja sana katika maombi na maandalizi And God bless you guys!! !!!!

All the bests


Bwana Harusi mtarajiwa .
Asante sana Bosi Ledi.

Haka kamama E ni ka kuzeekea sasa. Labda kaje kanikimbie hela za mafao zikiisha
 
Back
Top Bottom