Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ukizidiwa uniite nije nikutibuHadi nahisi naumwa vile nakumiss we m'CUTE
Ukizidiwa uniite nije nikutibuHadi nahisi naumwa vile nakumiss we m'CUTE
nimeikosa aisee
Ok!Ooooh maswali yenyeweee ndo hayaaa.
Mahari hajaleta ndo yupo kwenye process, na yakiletwaaa wazazi watapokea na sio kupokea tyuuh na baraka juu watatoa.
Hajajitambulisha bado ila ndo yuko ktk utaratibu, na utaratibu wa kwetu mtu anakuja kujitambulisha wakati wa kutoa barua ya posa, na mie ntaulizwa swali "huyu aliyeleta huu ujumbe unamjua?" Mie nikijibu ndyo namjua, ntaulizwa tena "huu ujumbe wake tuupokee?" Mie nikijibu ndyo upokelewee bas case kwishaaa.
Mtoto wa kwanza, akiwa wa kiume ntamuita "Kennedy" akiwa wa kike ntamuita "Lilian"
Vipi una swali jingineeee?![]()
miwili mikubwa hii sio poa .Ulikua kadogo dogo😍😍!
Lol pole dear!! Niliweka hii mamynilikuwa busy sijaiona hiyo , mtu ameniudhi aisee .
Hujashusha cameraNishaiwekaga Mbona!! Nahisi nilizifuta kuna hio tu!!
Nione kiuno nyigu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
haha pole ,Mbona midogo kabisa hiyo 😂
Niliwahi tengeneza miwani ya macho mikuuubwa
Hadi nikawa naulizwa mara 2 km kweli naumwa macho
Shusha sasa camera mwee🥺Lol pole dear!! Niliweka hii mamy
asante kipenzi nimeona mrembo kama kawa .Lol pole dear!! Niliweka hii mamy
Ngoja kombe la dunia liishe, ujue nina stream world cup...Si tunabadilishana simu..
Na wewe utabaki na zangu.
Ilikua September hio !!Shusha sasa camera mwee🥺
Sina tu pesa aisee 🤣🤣kumbe hata kutafuta wazo huna. Uwiiiiih
Weka kiuno nyigu kwanzaa nashushaaa sinaga mbambambaa kabisa mie!!Hujashusha camera
Smart911 umeona kifaa...Lol pole dear!! Niliweka hii mamy
Duh 😂haha pole ,
yangu hiyo ilikuwa Ile ya mastaa
miwani sivai japo ninatamani maana siwezi mwanga .
Hayaa nasubiria hapaaa!!Wacha nami nikuweke tuwekane
Shusha kwanzaWeka kiuno nyigu kwanzaa nashushaaa sinaga mbambambaa kabisa mie!!
Stori zako haziendani na wewe🤣
Hali Tete nishazidiwa njoo unitibu plz!Ukizidiwa uniite nije nikutibu
Nikupe?nimeikosa aisee