Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

My wangu nakusubiria PM 😍


Team my zetu woteee wana tumiguu flani, tumezidiana tu rangiii ‘wewe na My C 😂😂
Weee wanisubiri piemu wataka kunipa nn mie
Au ndio nitume namba untumie aftatu😁😁
 
23 bado anajitafuta huyo, ana safari ndefu sanaaa.

Temana naye tafuta kibabu chako kimoja ule pensheni kiroho safi.
Wápiiiiiii vibabuuu nileee pension, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntafutie bas, huyu wa kuzugia, main Chick yupo SA, ana 32 now namuonaa km mkubwaaaa. Uwiiiiih.
 
Back
Top Bottom