Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
😂Na Umri huu 🤪, Babu yako nimebaki kulea wajukuu tu mkituletea
😂Na Umri huu 🤪, Babu yako nimebaki kulea wajukuu tu mkituletea
Fanya hivoooo! kwanza unathubutugi hata kujaribu kupima kweli wewe🤣???Na mi natuma sasa hvi🤣🤣🤣
Amen Mjukuu 🙏🙏Lol safi sana granpa😍😍😍😍😍!!
Hongera kwa kujitunzaaaa 👏👏👏👏👏!
Mungu akuepushie nahayo magonjwa yasiyoambukizwa granpa live longer 😘!! Haya Wigelekelo Vijana igeni mfanooo huuuu
Ipi hiyo 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 nimekumbuka story yako moja, nimekaa kwanza nachekaa
Ya chuoIpi hiyo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Ya chuo
Ulilia kisa nn 😂😂😂
Fanya kunitumia Majibu yako ukipima tarehe 1 Disemba, wale watu wa afya nimewaelekeza namba ya nyumba yako waje🤪
Ili nigundue nini🤣🤣🤣...ukiwa una mambo mengi hizo habari ukumbuki...Fanya hivoooo! kwanza unathubutugi hata kujaribu kupima kweli wewe🤣???
Akhsaaaaanteeeeeeeeeeee!! 👏👏👏👏Asante Mjukuu 🙏
Vijana wanatakiwa kujifunza kuishi kwa Malengo, ukiishi kwa Malengo hautatamani starehe ya siku Moja ikuharibie kesho yako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Vijana mna tabuuuuu ona hata kupima mnaogopa🤣🤣🤣!Ili nigundue nini🤣🤣🤣...ukiwa una mambo mengi hizo habari ukumbuki...
Shida ya vijana hii 😂 😂Ili nigundue nini🤣🤣🤣...ukiwa una mambo mengi hizo habari ukumbuki...
Ndio ndiiiooooooooooooooooo 🤭🤭🤭🤭🤭🤭😘!!!🤣🤣🤣🤣!23 bado anajitafuta huyo, ana safari ndefu sanaaa.
Temana naye tafuta kibabu chako kimoja ule pensheni kiroho safi.
Khaaa saa nipime then...!! 🤣🤣🤣🤣🤣 Mwanakulitafuta..........Shida ya vijana hii 😂 😂
Amina barikiwa sana babuu!!Amen Mjukuu 🙏🙏
Ukiwa Mzee kama hivi, ni vizuri kuongoza kwa mifano.
Wajukuu mpate cha kujifunza kwa Babu yenu 🙏
Mwanakulifindddd 🤣🤣🤣Khaaa saa nipime then...!! 🤣🤣🤣🤣🤣 Mwanakulitafuta..........
Mwanakuligettttt kwako Poor BrainMwanakulifindddd 🤣🤣🤣
🙏🙏Amina barikiwa sana babuu!!
Yaaan siwezi kujichanganya kwa hayo mambo miiii....???🤣🤣🤣 Labda kuwepo na strictly condition kwa kweliMwanakulifindddd 🤣🤣🤣
Ongeza 3 nyingine.!! Baongezeee baongezeee! 👌Mpaka sasa wazee wana point 3....
Hutaki shida sio hahaaaYaaan siwezi kujichanganya kwa hayo mambo miiii....???🤣🤣🤣 Labda kuwepo na strictly condition kwa kweli