Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
🤣🤣🤣 si ndio🤣🤣 ndo nipate hela ning’aze nyota unione
🤣🤣🤣 si ndio🤣🤣 ndo nipate hela ning’aze nyota unione
Hongera sana babuView attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.
Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana 💪
Happy in advance HIV/AIDS day.
To be the honest, mtu niliye match nae umri nilidate nae nikiwa O level,Ngoja wakampaushe, akija kushtuka too late

Hongeraaaa sanaaaaa.View attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.
Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana
Happy in advance HIV/AIDS day.
Asante Mjukuu 🙏Hongera sana babu
Vijana hawawezi kufanya hizi mambo maana wanaogopa venye hawajiamini wana mambo mengi.
23 si ndo mpo sawa au kakuzidi ngapi hapo😜👋👋To be the honest, mtu niliye match nae umri nilidate nae nikiwa O level,
Baada ya hapo wote nilowahi kuwa nao, walianzia hapa 25 - 35..
At least sahv ndo huyu genius ana 23.
Sijui nimbwage nae lol
Mambo mwngi mda mchache.....🤣🤣🤣🤣Hongera sana babu
Vijana hawawezi kufanya hizi mambo maana wanaogopa venye hawajiamini wana mambo mengi.
23 bado anajitafuta huyo, ana safari ndefu sanaaa.To be the honest, mtu niliye match nae umri nilidate nae nikiwa O level,
Baada ya hapo wote nilowahi kuwa nao, walianzia hapa 25 - 35..
At least sahv ndo huyu genius ana 23.
Sijui nimbwage nae lol
Mpk uupate ndo utatuliaView attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.
Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana 💪
Happy in advance HIV/AIDS day.
Si ndiooooMambo mwngi mda mchache.....🤣🤣🤣🤣
Hahaha.................nimepokea Mjukuu🙏Hongeraaaa sanaaaaa.
Kupima tunapima ikitokea condition....Si ndioooo
Lol safi sana granpa😍😍😍😍😍!!View attachment 2430732
Kuelekea siku ya Ukimwi Duniani (1st December), Wazee tunatakiwa kuongoza kwa mfano.
Hapo nimebakiza kupima Presha na Kisukari, manake kwa Umri wetu huwa vinasumbua Sana 💪
Happy in advance HIV/AIDS day.
23 mnadate ujingaTo be the honest, mtu niliye match nae umri nilidate nae nikiwa O level,
Baada ya hapo wote nilowahi kuwa nao, walianzia hapa 25 - 35..
At least sahv ndo huyu genius ana 23.
Sijui nimbwage nae lol
Na mi natuma sasa hvi🤣🤣🤣Lol safi sana granpa😍😍😍😍😍!!
Hongera kwa kujitunzaaaa 👏👏👏👏👏!
Mungu akuepushie nahayo magonjwa yasiyoambukizwa granpa live longer 😘!! Haya Wigelekelo Vijana igeni mfanooo huuuu
Na Umri huu 🤪, Babu yako nimebaki kulea wajukuu tu mkituleteaMpk uupate ndo utatulia
Mpaka sasa wazee wana point 3....Lol safi sana granpa😍😍😍😍😍!!
Hongera kwa kujitunzaaaa 👏👏👏👏👏!
Mungu akuepushie nahayo magonjwa yasiyoambukizwa granpa live longer 😘!! Haya Wigelekelo Vijana igeni mfanooo huuuu
Khaaaaa 🧐🧐23 mnadate ujinga
😂😂😂😂😂 nimekumbuka story yako moja, nimekaa kwanza nachekaaHamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.
Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.
Wazee oyeeeeee🥰🥰