Selfika na JF: Snap it. Show it

sasa na mie napenda heka hekaaaa.
 
Wapi bebe akeee sieeee Mjep 😜!! Tinsley mamaa naomba nione lipss nikae sawa kipenzi!! cocastic Lovelovie kitambo sana hamjatubless wapendwa
Mama mchungaji Heaven Sent njoo uoneeeee, kumbe hili ndo lile pembe la ngombe...!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Wakubwa wanafaidi😍
 
Hamna watu romantic kama wazee, wanajua kubembeleza hatari.
Wewe ulikua ni muoga ndio maana feelings zikapotea.

Af si unaona alikuelewa, imagine wangekua ni hutu tuvijana tusharobaro mshaingia eneo la tukio unamwambia hauko sawa unafikiri angekuelewa?
Kwanza hapo hela yenyewe ya hoteli kakopa kwa washkaji zake af umwambie hali mzigo weee ungeelewa mziki mbona.

Wazee oyeeeeee🥰🥰
 
Mind set yako tu hiyo


Sasa si mrudiane?
 
Angekuwa kijana hapo 😂😂
ndo maana tunawasifia wanajua kulea na kusikiliza .
 
Siyo kwa hizi sifa ulizo mwaga hapa

Leo umekunywa nini??
Si uende darasani huko..!
Vocha nimeshakuwekea kule ebu screenshot uwawekee hapa wathibitishe
niacheee kumpa sifa mahabhuba, laazizi, nyonga mkalia ini, tamuuuu akeee?

Wee kuwa serious afu cjaona mie kulee, fanya jambo kweli, ntakuroga bushaaa oooh au mjegejeee usisimamee mileleee.


Class baadae baadae. Niko vimbwetani nawapa story wadau, bila mie hawaendi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…