Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Woooooooooowwwwwwwww!!!!! Mama maleziiiiii ur welcomeee.

Tumekumic had tunaumwaaaa, hebu tuoneshe kid alokua anakuweka buzzy, tujiandae na baby kits kuja kumtunzaaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Na skuna zako hutaaki tabuuu, km kawaidaaa. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
Ili kubalance Uzi weka na wewe skuna yako shouz
 
Hebu vaa skuna siku moja unibless foto shoss akee utakua bonge la miss [emoji7][emoji7][emoji7]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu urefu c ntaanguka? Km Noel naye kuna clip kavaa cjuj pajama au nn na skuna chini, anavyotembea sasa mie hoiii.

Aristoteeeee nae mpanaaa ndo anampambaaa balaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] skuna nehiiii.
 
Woooooooooowwwwwwwww!!!!! Mama maleziiiiii ur welcomeee.

Tumekumic had tunaumwaaaa, hebu tuoneshe kid alokua anakuweka buzzy, tujiandae na baby kits kuja kumtunzaaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Na skuna zako hutaaki tabuuu, km kawaidaaa. [emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]
Skuna sio shida zangu kabisa. Aisee nimemiss ubuyu wa chimbo khaaa

Baby kasema amechoka kukusubiri aunt wewe; mtu hadi ameanza kuota meno. Soon mtaanza kupishana barabarani[emoji1787][emoji1787]
 
Aiiiiimmmmmeeeeeeeeeennnnnnn[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!! Hallelujah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeshawekwaaaa waziiiii, nimetajwaaaa mie, mnajua raha ya kutambulishwaaaaa nyieeee? Nataman ile comments niiwekee lamination. Huhuhuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu urefu c ntaanguka? Km Noel naye kuna clip kavaa cjuj pajama au nn na skuna chini, anavyotembea sasa mie hoiii.

Aristoteeeee nae mpanaaa ndo anampambaaa balaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] skuna nehiiii.
Hizo mi nishashindwaga kabisa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeshawekwaaaa waziiiii, nimetajwaaaa mie, mnajua raha ya kutambulishwaaaaa nyieeee? Nataman ile comments niiwekee lamination. Huhuhuh
komenti Iwekwe sticky kabisaaaa! Hapana chezea cocaaa akeee🤣😘😘😍!!
 
Skuna sio shida zangu kabisa. Aisee nimemiss ubuyu wa chimbo khaaa

Baby kasema amechoka kukusubiri aunt wewe; mtu hadi ameanza kuota meno. Soon mtaanza kupishana barabarani[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi nimechekaaaaa, chimbozzz kuna ubuyuuuu balaaa sema now niko buzzy kidogo afu naonaga uvivu kuandika.

Wee amekua mkubwa hvyooo? Hongera umekuzaaaa mommah, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom