Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kamuone daktari..
Kamuone daktari..
Mimi namuona rubani [emoji23][emoji23][emoji23]Kamuone daktari..
Kumbe we ni doctor?Mimi namuona rubani [emoji23][emoji23][emoji23]
Daktari si anamuona rubani
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wa kushona nguo za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we ni doctor?
Nilidhani we ni doctor, kuna kitu nikuulize unisaidieWa kushona nguo za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
WalaaaNilidhani we ni doctor, kuna kitu nikuulize unisaidie
☺️☺️☺️ Sijawai tumia haya makitu, mfupa kwa mfupa na nyama kwa nyama tuUsisahau kuvaa kimfuko cha mkate😒😒😒usijesema sikukwambia wakati tunakunywisha uji
Pumzi ipo ya kutosha dada yangu ☺️☺️ maana situmii aina yoyote ya kilevi wala kivuto so mapafu yangu na figo kama za mtoto mchanga 😅😅😅 mie huwa ni majii kwa wingi madafu na majani majaniKwa style hiyo pumzi unayo kweli mdogo wangu😁😁
Tuma picha mtoto mzuri..Wa kushona nguo za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😅😅😅 Selfika wa kishua sana hawanitaki mie wa uswazi a.k.a jobless kula bure kulala bureNani huyo mkuu? kama ni pisi ya selfika ukiikamata hakikisha unatuwakilisha World Cup Qatar.
Kwema kabisa mzee. Mambo mazuri kabisaMzima kabisa mambo vipi ?
Picha meweka na sijafutaTuma picha mtoto mzuri..
Kuna mmoja nilimtafuna pale Rungwe Hotel Afrika Sana, alikua mtamu huyo😅😅😅 Selfika wa kishua sana hawanitaki mie wa uswazi a.k.a jobless kula bure kulala bure
Njoo japa Rungwe Hotel tupige story mbili tatu..Picha meweka na sijafuta
Sielewi hata ipo sehemu ganiNjoo japa Rungwe Hotel tupige story mbili tatu..
Shkamoo Mjep.
Naomba vocha nimalizie mechi.
Nani huyo Coca jamani anakutenganisha na shostitio wako [emoji16]Miss u my shoga uyogaaaaa, naambiwa umekatazwaaa mazoea na mie, ndo maana unanichunia, kheeeeh haya bhana. Endelea hivyo kutii agizo, isije semwa nakurubuni, akuuuuuuh sitaki.
Seriously!!!!!
Nakutania, mie mwenyewe hio location "kwa msaada wa google"
Dah[emoji3064]Marahaba nkamu
Leo nimefulia nilipata buku tu
Vumilia hadi kesho InshaAllah