Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Binti,
Nadhani kuna mambo mengi yenye tija ya kufanya kuliko huu upuuzi wa kujifanya unajua kuunganisha dots za watu usiowafahamu humu ndani.!!

Would you please do me a favor by minding your own fqng business na uache kufanya huu upuuzi unaofanya hapa?? don't try to be nosy kwa watu usiowafahamu,

Huu upuuzi wa kujifanya unanijua sana unaanza kunifananisha na raia wengine naomba mwisho wake uwe hapa!!

Jipongeze kwamba nimekuheshimu sana!! Ukipata muda hebu jaribu kufanya mambo ya msingi..!! Halafu heey' mbona umekomalia sana?? What's wrong with you?? Do we know each other maybe??

nimependa hii.
Nilimwambia mimi hakunisikia.
 
Cool and easy.. ndicho nachoweza kukushauri..Potezea.
Sio kila kitu unachofanyiwa lazima u react negatively (Angry). Unawapa nafasi adui zako wajue udhaifu wako upo wapi!

U have to react with Hahahahahahah in anything.. no matter what kind of situation you're going

Hahahahahahah in anything? Are you a saint or something? Even Jesus had to kick some ass at some point. Sometimes you have to draw a line and protect your decency and dignity....
 
.
IMG_20191113_191806_5.jpeg
 
Binti,
Nadhani kuna mambo mengi yenye tija ya kufanya kuliko huu upuuzi wa kujifanya unajua kuunganisha dots za watu usiowafahamu humu ndani.!!

Would you please do me a favor by minding your own fqng business na uache kufanya huu upuuzi unaofanya hapa?? don't try to be nosy kwa watu usiowafahamu,

Huu upuuzi wa kujifanya unanijua sana unaanza kunifananisha na raia wengine naomba mwisho wake uwe hapa!!

Jipongeze kwamba nimekuheshimu sana!! Ukipata muda hebu jaribu kufanya mambo ya msingi..!! Halafu heey' mbona umekomalia sana?? What's wrong with you?? Do we know each other maybe??
Kitendo cha ku react kinampa bichwa huyo mtu. Silence could be the best medication.
 
Haha.!
Hadii nimecheka.!!.
Eti kama Idris, na yakamkuta yepi??

Ajitahidi tu utani wa kipuuzi na watu aisowafahamu aache.!! Siyo wote wanafurahishwa! Humu kila mmoja ana akili zake, Kuna wengine washaelewa walivyoelewa na wamelibeba kama lilivyo.!! Siku si nyingi unajikuta umekuwa shemeji wa JF na ndoa hukuiona!!
Okeeeei....gotcha
 
Back
Top Bottom