Mods embu badilisheni hii imekaa mda mrefu juu apo View attachment 1263285
Karibu sanaNimekuelewa vizuri mpendwa wangu, ahsante sana.!!
Sitaki...hiyo sio
View attachment 1263298
Wembamba wa reli
Sitaki...hiyo sio
Njoo PM nikupe yote uncle 😛Saved to my device
Sisi sio watu wa maneno mengi. Karibuni tufunge siku.
Jana nimefedheheka sana, zile chips haikufika hata saa tano usiku njaa hatari. Sie wa mkoani alah!
View attachment 1263291
View attachment 1263298
Wembamba wa reli
Nahisi ni wivu tu 😂Ndio hiyo sasa unataka ipi.
Au unaona wivu uncle?
Sisi sio watu wa maneno mengi. Karibuni tufunge siku.
Jana nimefedheheka sana, zile chips haikufika hata saa tano usiku njaa hatari. Sie wa mkoani alah!
View attachment 1263291




Nahisi ni wivu tu
Ila bado nafsi yangu inakataa
Ooh no! Unadhani ukiuzima moto kwa moto ninj kitatokea.?vitu vya kipuuzi lazima vikemewe.
Daah sema Mkuu kila mtu anajinsi anavyochukulia tatizo likimpata.. I'm not a saint or Jesus Cousin.. But Napenda tuwe tunatumia wema zaidi.. unajua jesus nae alikua binaadam so inawezekana pale u binaadamu uli outgrow uungu wake..ndio mana akatumia Nguvu!Hahahahahahah in anything? Are you a saint or something? Even Jesus had to kick some ass at some point. Sometimes you have to draw a line and protect your decency and dignity....
Na yako itangulie
Nasubiri yote huko pm![]()
Aah wapi...unanifariji tuHahaha hiyo reli nenne saana mbona
Sina la kusema, ila nimeona amefanya sahihi kumfundisha namna ya kuishi kwenye mipaka yake.Ooh no! Unadhani ukiuzima moto kwa moto ninj kitatokea.?
Naamini kila mtu ndani yake kuna upande wa Wema /Good side..
So mtu mbaya/mwenye matendo mabaya hutakiwi kum treat kama anavyofanya ubaya..bali inatakiwa ufanye ku retrieve ule uzuri wake alionao ila aje kua Mwema.
Ni raha sana kumbadiri mtu mbaya kua mwema..hata biblia inasema hua ni shangwe na furaha kuu mtu muovu akimrudia Mungu