Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Akiweza naomba unishtue mkuu
Unaweza kunipa tofauti ya msingi(sensible) kati ya wanaume wanaotumia JF versus wanaotumia aina nyingine za mitandao ya kijamii?