ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Nakubali mkuu
Behind that courage kuna fake motive
Behind that courage kuna fake motive
Ni nyuki ama ngumi ilivyo Shiba
PoleSijuu maana nilkuwa nimelewa
Weka na wewe sasa
HapanaHapa ni bongo au
JF hapa kuna watu wa kila aina. Una haki ya kukasirika kwa sababu kilichofanyika si cha kiungwana. Hongera kwa kujizuia. Ukomavu wa mtu wa fikra na mihemko hupimwa katika nyakati kama hizi. Ni wachache wanaoweza kuminya hisia zao wakiwa wamekwazwa. It is a valuable trait to have...Mungu pekee ndo anajua vile najizuia hapa.!!
I hate shits, I just hate shits.!!
Kaka shemeji![]()
Fyekero hilo halafu. Limejiunga Nov 6. Likely ni mtu mliyezoeana vizuri tu. Homo Sapiens katika ubora wake !!!Ni nini hichi unajaribu kufanya???
Whoever you are, don't try me please!!
Hii ndo tabia nisiyoipenda, Wabongo mna nini lakini!!? Unataka kuaminisha nini hapa watu??
Sema haki ya nani?? Mbona mie sijawahi kuiona??
Hahahaha kumekaa kama mkoani si kwa sababu ya milima vile
AsanteKuruta
Who s thatAsante
Nakuunga mguu.
![]()
Hata wakibahatika kujua, wanaume wa JF hapana kwa kweli
Binti,Usiangalie unene wa mkono maana watu wanafanya mazoezi wanapungua.
Angalia kidole kimoja kimoja kuna vitatu vipo identical kabisaaa...
Duniani wawili wawili au sio...