Bro, huyu ni wewe?
Navy kenzo
Bro, huyu ni wewe?
Chat na picha
Wewe umetuma au kazi yenu kuja kupiga chabo picha za members zenu hapan.Ujatuma bado
we unapenda kuchochea afu yako uweki.Chat na picha
Wewe umetuma au kazi yenu kuja kupiga chabo picha za members zenu hapan.
View attachment 1263200
Long time ago 🏃
Furushi lishafanya upuuzi!! Kuna watu akili zao sijui zipo kiwango ganiNi nini hichi unajaribu kufanya???
Whoever you are, don't try me please!!
Hii ndo tabia nisiyoipenda, Wabongo mna nini lakini!!? Unataka kuaminisha nini hapa watu??
Unawajua?The team 🤗
Wewe umetuma au kazi yenu kuja kupiga chabo picha za members zenu hapan.
Unawajua?
Mungu pekee ndo anajua vile najizuia hapa.!!Furushi lishafanya upuuzi!! Kuna watu akili zao sijui zipo kiwango gani
Bablai ustaarabu kitu cha bure tu. Kwahiyo unataka kuonesha nini kwa watu?
Unahisi kwanini niwe mimi MLEVi Mmoja.!?@sweetliee embu kuja huku huyo ni wewe ?![]()
Hahaha sisi na kina Mshana Jr tumeamua kula kwa macho tu hapa hapa kwa jukwaatumeridhika na picha mkuu
Inaboa but calm down BebeMungu pekee ndo anajua vile najizuia hapa.!!
I hate shits, I just hate shits.!!
😂😂 madawa itakuwa yalikwisha nguvuMshana alikua na kifaa moja matata sana,Sijui alikwama wapi maana speed zao zilikua hatari
Ni nyuki ama ngumi ilivyo Shiba