Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha yeah ipo aisee ile njia mimi ndiyo njia yangu pendwa nikiwa naenda kutembea mlimani kule mamlaka ya hali ya hewa tanzania,, kule kwenye ule mnara wenye mpira mweupe kwa juu ukisimama kule kwenye ule mnara unayaona majengo marefu ya posta na bahari unaiona kwa mbali wanasema pale ndiyo the highest point in dar es salaam na ule mpira hadi ukiwa kinyerezi mwisho kama unaenda mbezi unauona na ukiwa pugu stesheni pia unauona..
Okay. Dah aisee huwa nakunjaga tuu. Sijawahi kunyoosha. Anyway itabidi nitembee kumbe kuna had secondary.
 
Kule kwenye kile kilele kuna hotel flan hivi ina swiming pool. Ukikaa kule juu unaiona dsm yote.

Sema ah kumekaa kama mkoani vile
Haha yeah ipo aisee ile njia mimi ndiyo njia yangu pendwa nikiwa naenda kutembea mlimani kule mamlaka ya hali ya hewa tanzania,, kule kwenye ule mnara wenye mpira mweupe kwa juu ukisimama kule kwenye ule mnara unayaona majengo marefu ya posta na bahari unaiona kwa mbali wanasema pale ndiyo the highest point in dar es salaam na ule mpira hadi ukiwa kinyerezi mwisho kama unaenda mbezi unauona na ukiwa pugu stesheni pia unauona..
 
Hii inaitwa Kachumbari
20191114_114843.jpeg
 
Dah! Punguzeni stori basi wakuu, wekeni picha macho yetu yaendelee kusuuzika
Haha yeah ipo aisee ile njia mimi ndiyo njia yangu pendwa nikiwa naenda kutembea mlimani kule mamlaka ya hali ya hewa tanzania,, kule kwenye ule mnara wenye mpira mweupe kwa juu ukisimama kule kwenye ule mnara unayaona majengo marefu ya posta na bahari unaiona kwa mbali wanasema pale ndiyo the highest point in dar es salaam na ule mpira hadi ukiwa kinyerezi mwisho kama unaenda mbezi unauona na ukiwa pugu stesheni pia unauona..
 
Hii mikono ni tofauti.
Mmoja wa juu mkono wake ni mnene na huyo mtu anaonekana ni mnene.
Huyu wa chini mkono wake ni mwembamba. Angalia alipovalia saa na huyo mwingine alipovalia hiyo bangili.
Ila viganja vyao vimefanana.
Usiangalie unene wa mkono maana watu wanafanya mazoezi wanapungua.
Angalia kidole kimoja kimoja kuna vitatu vipo identical kabisaaa...
Duniani wawili wawili au sio...
 
Back
Top Bottom