Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Usinisingizie mtoto wawatuUna ushamba gani
Janjaro kabisa
My Ex ulinifundisha vingi
Usinisingizie mtoto wawatuUna ushamba gani
Janjaro kabisa
My Ex ulinifundisha vingi
Huo ni uwongo banaaaaaaaaaMy zangu siwezi wasaliti 🤣🤸😋
Nikirina asali lazima wote mlambe
Ila cha kwanza mkiamka mje kuselfika, ili kujihakikishia nafasi nzuri ya kutolamba msalitiko
Cc Darlin
Mambo yapi hayo......🤣🤣🤣Wa hayo mambo
Ya shanga/cheni kiunoni [emoji17]Mambo yapi hayo......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusingizie ili iwe niniUsinisingizie mtoto wawatu
Saa mbona unakataa kufundishwa🤣🤣🤣🤣Ya shanga/cheni kiunoni [emoji17]
Mwambie dada mkubwa akupe access niikute kule alikonishushua alfajiri 😒😒Huo ni uwongo banaaaaaaaaa
Yani ni huyu huyu depal au mwngine
Me si nlkwambia selfie naileta piemuni mwenyewe
Fungua kufuli bas😒
Vaa adi kikuku kabisa utapendezaYa shanga/cheni kiunoni [emoji17]
Dada yangu ana kawivu sidhan hata kama atanipa kwa jinsi navyomjua😁Mwambie dada mkubwa akupe access niikute kule alikonishushua alfajiri 😒😒
Nakaribia kurina jamani, ngoja uje kujiprove wrong mwenyeweeee
Una hila we msukumaNikusingizie ili iwe nini
Sitaki kujua[emoji275]Saa mbona unakataa kufundishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakua mshamba hv hvo mpaka lini. ....?Sitaki kujua[emoji275]
SikuzoteUtakua mshamba hv hvo mpaka lini. ....?
Una shida wewe ..Sikuzote
Mwambie bibi atamfinyaDada yangu ana kawivu sidhan hata kama atanipa kwa jinsi navyomjua😁
Usinisahau my wanguuuuuuu katika kaufalme kako kaurinaji asali😒
Mkuu Shimba ya Buyenze mlikuwa mnaongea nini na huyu mrembo?Asante mpwa alafu aanze kuandika barua za kulalamika wee Muache ajisahau
Satoh Hirosh usiseme mpwa wangu hajakuambia
Ulimaliza mwenyewe hii madam?
[emoji1787][emoji1787]
Mkuu sikuwa na simu kwa muda wa siku takriban 3.Dkt bana. Miaka 76 ndo inifanye nisiangalie connection? Tena kali kama ya huyo binti? [emoji16][emoji16]
Huku kwema dkt. Natumaini hata huko kwako kuko poa. Vipi kwa mpwa wangu, ushabeba jumla au bado unajikongoja?