National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mambo mabaya hayo ๐๐๐๐๐๐๐
Mambo mabaya hayo ๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐Mie siangaliagi hizo, labda kama unataka kunifundisha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kweli Kabisa mjomba ๐๐ค!Mambo mabaya hayo ๐๐
Asante mpwa alafu aanze kuandika barua za kulalamika wee Muache ajisahauMarahaba mpwa...
Mwache tu ajikanyage....
Mwaka huu ukiisha hajabeba jumla imekula kwake...
Endelea kubarikiwa mpwa!
Ni dry pia ni red๐คฃ
Wewe ni mtaalamu wa wine ee๐๐kichwa kibovu hiki sina uelewa wowote mkuu hebu nitonyeNi dry pia ni red๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Dry dry hapo patamu hapoooWewe ni mtaalamu wa wine ee๐๐kichwa kibovu hiki sina uelewa wowote mkuu hebu nitonye
Nipe somo la wine acha kucheka snaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Dry dry hapo patamu hapooo
Ipo poa hamna shida hapoNipe somo la wine acha kucheka snaa
Ahaaa kumbeee nijua nimelizwa..maana kwenye maswala ya wine Niko sifuri kabisaIpo poa hamna shida hapo
Hapana ipo poa kabisa... ๐๐Ahaaa kumbeee nijua nimelizwa..maana kwenye maswala ya wine Niko sifuri kabisa
Black and beuty