Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Salama[emoji4]
Nilitaka kuuliza wewe unakujua tegeta.

Kuna kituo kinaitwa Tegeta Kwa ndevu??
Na kama kipo kinafuata kikitoka kituo Gani?
Na Tegeta nyuki kipo wapi?

Yes dear napafahamu tegeta .
ndio kipo kwa ndevu .

ukianza tegeta unaanza kwa ndevu pamechangamka then kituo kinachofata ni Azania baada ya hapo ndo unashuka Nyuki ambapo ndo sokoni .

mfano Kama unatokea Mbezi mwisho/mawasiliano / Tabata segerea Kuna magari ya Tegeta nyuki ya moja kwa moja .
 
Oh sawa akhsante.
 
Back
Top Bottom