Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Bahati mbaya niko mshambaTufanye practical basi
Bahati mbaya niko mshambaTufanye practical basi
Mshamba wa nini 🤣🤣Bahati mbaya niko mshamba
Nafundisha bure tuu 😁😁 na mie mshamba tutajanjalushanaBahati mbaya niko mshamba
😅😅😅 Hatuna kazi, unafikiri tunafanyake mzeee... Kuna wale wengine walikuwa na tako la nyani walikuwa wanapenda sana kukaa kule gizani, unawapata.. Wale nilikuwa nawaogopa wapo kama majini vile.. na ujasiri wangu nilikuwa nwanyaaahahaha yes number DV...
Sio poa unatisha sana mdau.
😅😅😅 Maeneo ya sinza ni kipengele sana, unaweza amka saa nane usiku unaenda opo zigoNawajua Sana; mpaka wale wenye kivits.
Kabla ya kuoa nimekaa mitaa iyo miaka 8. Kwaiyo gemu zangu za Arsnal na Simba; supu ya mchemsho kabla ya kwenda kuhangaika nilikuwa nazipatia hapo.
Ilibidi itumike extra force kuning'oa sinza. Sasa Nipo kibaha uku nimetulizana sitaki makuu.
Nipo Mkuu .Tinsley upogo👋👋👋
Mungu yu mwema sana. Bado tunapumua.. still upo macho mpaka mda huuNipo Mkuu .
habari ya mida
Amen ni mwema sanaMungu yu mwema sana. Bado tunapumua.. still upo macho mpaka mda huu
Uogopi..🥱🥱Amen ni mwema sana
Nipo macho bado ..
hapanaUogopi..🥱🥱
👍👍👍Your welcome......hapana
usiku mzuri tulivu .
Thank you👍👍👍Your welcome......
Screen shuu tuone..🤏🤏Thank you
nipo naisikiliza nyimbo hapa ,zinaniburudisha .
My zangu siwezi wasaliti 🤣🤸😋
Uchawi sio lazima tunguli ujueShanga ni moja ya chachu kwenye mapenzi, sikuwa nazipenda kabisa, paka kuna siku nilipokutana na mtoto mmoja kavaa shanga moja matata.. Kwisha habari yangu, nimejikuta mdada bila kashanga hata kamoja kama simuelewi vile

Upe mwili asante kwanza shida zipo tu haziishiShida zipo tu.View attachment 2420432