Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu,sikuwahi kudhani Kama huwa unaangalia connection.

Kwema Lkn mkuu?
Dkt bana. Miaka 76 ndo inifanye nisiangalie connection? Tena kali kama ya huyo binti? [emoji16][emoji16]

Huku kwema dkt. Natumaini hata huko kwako kuko poa. Vipi kwa mpwa wangu, ushabeba jumla au bado unajikongoja?
 
Back
Top Bottom