Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Watakuzoea tu eventually , itakuwaje binti mrembo aisee.Wee mependeza wapii nimechekesha tu Watu hawajanizoeaa wananishangaa uwiii
Watakuzoea tu eventually , itakuwaje binti mrembo aisee.Wee mependeza wapii nimechekesha tu Watu hawajanizoeaa wananishangaa uwiii
Toa hilo ua buanaaaa😘😘😘😘!! Umependeza mamaa misosiiii
Poor BrainWee ziro brain sijui Poor Brain bndio unaniangalizia hio foto ama??
Atakua mzoefu kaja kivingineeee! Aselfike tubarikiwe sie Poor BrainPoor Brain
hataki kuselfika kabisa
Yupo sahihi ... we are not ordinary .I am okay Mkuu,
I used kujiona an ordinary(average) person way back sabb niliona inasound humble..
Ila kuna jamaa yangu akaja kunitonya the fact we were created kwa mfano wa Mungu we are not ordinary...
I don't know kama alinidanganya..
Kweli kabisaAtakua mzoefu kaja kivingine Ndiomana!! Hakunaga mgeni humuu😁😁😁😁!
Yeah!!Kweli kabisa
Ni mchangamfu pia .
Aloo byuti byuti.
Umeanza saa hizi mpaka ifike saa 4 usiku ushapendeza
Yeah bora ujisifie mwenyewe chumbani kwenye kioo.Yeah! Especially ktk ulimwengu huu uliojaa negativity... 🤠
Unaweza ukawa unasema ukwel kabisa ila bomu utakalopigwa utabak unashangaa..
Mapema kabisaUmeanza saa hizi mpaka ifike saa 4 usiku ushapendeza
🤒🤒🤒 Bhado sa hivi wapo ka wote subiri mida ile...Wee ziro brain sijui Poor Brain ndio unaniangalizia hio foto ama??
kesho my dearWapendwa Hivi kombe la dunia linaanza kesho au keshokutwa??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tanesco VS Dstvkesho my dear
tupo hapa tunasubiria kwa hamu
japo na huu mgao sijui
Yaani wasitufanyie hivyo watu wamelipia package kubwa alooh .🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tanesco VS Dstv
Ndo mtaelewa Tanesco walivyo na sifa mbona mtafurahi... Mtasikia tuu kwa wenzenu .....🤣🤣🤣Yaani wasitufanyie hivyo watu wamelipia package kubwa alooh .
😂😂😂