Leo amekua chausiku kisa kakukataa[emoji849]Wazee wa kinyantuzu
Wanataka demu mweupe
Sasa huyo chausiku wako
Nitakosa radhi za wazee
Hii mbinu ngoja niitumie
Yaani kuna kupendwa alafu kuna kupapatukiwa... Kupapatukiwa ni hatua ya juu sana ya kupenda an mtu anakupenda hadi... Yaani haielezeki 😂😂😂😂Kupapatukia maana yake nini???? Sijui kama napendwa Kwani siwezi usemea moyo wa mtu kiza kinene
[emoji275]Valentina wapi kuna shidah[emoji23][emoji23]
Kwendraa banaSijaona mwanya hapo kibungo
Ila tu dental formula iko on point, yaani perrrrrrrfect😍
🤒🤏🤏[emoji275]
Kimoja kitanitia majaribuni, vikiwa vingi tutamshinda shetwani 😅😅😅Vinne??? Vyote hivo jaman
Unataka kuvifanyaje vitoto vya watu eti
Hahaha sijakutupa bana si unajua weekend is weekendingggggggg😆😆
Tajiri mwenyewe ndo wewe sasa 🤣🤣🤣🤝
Tajiri kagoma leo 😅😅Tajiri mwenyewe ndo wewe sasa 🤣🤣🤣🤝
Hamna kitu ka hicho wewe...Tajiri kagoma leo 😅😅
[emoji3577]Kiufupi ni hivi ADUI YAKO RAFIKI YANGU NA RAFIKI YANGU NI RAFIKI YANGU TUU....
Kaa kwa kutuliaWe endelea kutukosea Wazee wako, hata yule Mjukuu wangu wa Daslam hutampata [emoji2957]
Hakika mimi sina anae ni defend nikiwa sipo wananisemagatu[emoji16]Nobody is your friend untill they defend your name in your absence!!
Unashangaa nini sasa[emoji28][emoji28]khaa
Kaa kwa kutuliaLeo amekua chausiku kisa kakukataa[emoji849]
Hahahaha 😂😂